
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi (katikati), akizungumza na wananchi wa mjini Mbinga leo Jumamosi alipokuwa njiani kuelekea wilaya ya Nyasa, ikiwa ni siku ya nne ya ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipiga picha ya 'selfie...
No comments:
Post a Comment