
Kutoka kushoto ni waandishi wa habari, Godfrey Marwa, Clonel Mwegendao na Agnes Alex kutoka Mara Online News na Gazeti la Sauti ya Mara, wakifuatilia jambo kwa furaha walipokuwa katika utekelezaji wa majukumu yao mjini Tarime hivi karibuni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipiga picha ya 'selfie...
No comments:
Post a Comment