
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evens Alfred Mtambi (kulia), akipokea nakala ya Gazeti la Sauti ya Mara kutoka kwa CEO na Mhariri Mtendaji wa gazeti hilo, Jacob Mugini, katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Musoma jana Aprili 17, 2025, ambapo Kanali Mtambi alielekeza Kitengo cha Habari katika ofisi yake kiwe kinamwagizia kila toleo la gazeti hilo. (Picha na Christopher Gamaina)
No comments:
Post a Comment