![]() |
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi (picha na Mara Online News) |
MKUU wa Mkoa (RC) wa Mara, Kanali Evans Mtambi (pichani), anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Dunia barani Afrika, yatakayofanyika mjini Mugumu leo Jumatatu, Hifadhi ya Taifa Serengeti ikiwa mwenyeji wa maadhimisho hayo.
No comments:
Post a Comment