NEWS

Saturday 19 October 2024

Nyambari Nyangwine mgeni rasmi Mahafali ya 22 ya Kidato cha Nne Sekondari ya Mbezi High School



Mfanyabiashara, mwandishi na mchapishaji wa vitabu maarufu nchini, Nyambari Nyangwine (aliyevaa kofia) amewasili na kupokewa na uongozi wa Shule ya Mbezi High School iliyopo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki kama mgeni rasmi katika Mahafali ya 22 ya Kidato cha Nne shuleni hapo leo Oktoba 19, 2024.
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages