Tuesday, 31 March 2020
Tanzania yathibitisha kifo cha kwanza cha Corona
MARA ONLINE
March 31, 2020
0
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Tanzania, Ummy Mwalimu amethibitisha kutokea kwa kifo cha kwanza cha mgonj...
Monday, 30 March 2020
Sunday, 29 March 2020
Visa vipya 1,123 vya Corona vyaripotiwa Switzerland leo
CNN, London SWITZERLAND imeripoti maambukizi mapya ya virusi vya Corona (Covid-19) kwa watu 1,123 kwa muda wa saa 24 zilizopita, hivyo...
Corona: Halmashauri Serengeti sasa inawapima abiria wanaoingia na kutoka
HALMASHAURI ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara kupitia hospitali ya wilaya hivi sasa inawafanyia vipimo vya joto abiria wa mabasi na m...
Fisi acharangwa panga Mugumu
MNYAMAPORI aina ya fisi aliyekuwa anahatarisha maisha ya wananchi ameuawa kwa kukatwakatwa kwa panga mjini Mugumu wilayani Serengeti, Ma...
Friday, 27 March 2020
Coronavirus: Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson akutwa na coronavirus
MARA ONLINE
March 27, 2020
0
"Nimekuwa na dalili ndogo za coronavirus, ambazo ni viwango vya juu vya joto la mwili na kikohozi ambacho hakikomi ," B...
Auawa na mamba baada ya kukiuka kujikinga na corona
MARA ONLINE
March 27, 2020
0
Mwanamume mmoja nchini Rwanda ambaye alikiuka amri ya kukaa nyumbani kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, amefariki dunia baada ...
MACHINGA WATAKIWA KUTOFANYA BIASHARA BARABARANI
MARA ONLINE
March 27, 2020
0
Halmashauri ya mji wa Dodoma imewataka wafanyabiashara wadogo almaarufu kama machinga wanaofanya biashara katika maeneo yasiyokuwa rasmi...
Wednesday, 25 March 2020
Mbunge wa Ukonga mikononi mwa Kamati ya Maadili CCM Mara
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amefika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM Mkoa wa Mara jioni ya leo Machi 25, 2020 kuitikia wi...
Tuesday, 24 March 2020
Sunday, 22 March 2020
Rais Magufuli: Corona isitufanye tumsahau Mungu
RAIS wa Tanzania Dkt John Magufuli amesema kuwepo kwa ugonjwa wa Corona isiwe sababu ya watu kutishana kiasi cha kumsahau Mungu. Ba...
Waitara awataka wazazi kuwalinda watoto wa shule dhidi ya Corona
Naibu wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI ) Mwita Waitara leo Jumapili Machi 22 amewataka...
Museveni: Marufuku ndege za abiria kutua Uganda
RAIS wa Uganda Yoweli Museveni amepiga marufuku ndege za abiria kutua nchini humo isipokuwa za mizigo ya mahitaji muhimu pekee. ...
Waliofariki kwa Corona Italia wafikia 4,825
MARA ONLINE
March 22, 2020
0
IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na virusi vya Corona (COVID-19) nchini Italia imefikia 4,825 leo Jumapili, wakiwemo 800 wa...
Waziri Mkuu Tanzania aonya upotoshaji taarifa za Corona
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa jana Machi 21, 2020 alionya upotoshaji na utoaji holela wa taarifa za ugo...
Saturday, 21 March 2020
Mwanamuziki Kenny Rodgers afariki dunia
Mwanamuziki maarufu wa Marekani Kenny Rodgers amefarki dunia akiwa na umri wa miaka 81 akiwa nyumbani kwake kutokana na visababishi vya ki...
Friday, 20 March 2020
PARACHICHI ZILIVYOMPAISHA BINTI MHITIMU WA SHAHADA YA SHERIA
MARA ONLINE
March 20, 2020
0
WAKATI wahitimu wengi wa vyuo vikuu wakiamini kuajiriwa ndio njia pekee inayoweza kuwatoa kimaisha, hali ni tofauti kwa Veronica B...
Thursday, 19 March 2020
Corona ilivyotikisa Ujerumani
MARA ONLINE
March 19, 2020
0
KANSELA wa Ujerumani, Angela Markel Jumatano wiki hii(jana) alihutubia taifa la Ujerumani kwa njia ya TV na kuonekana kuguswa vikali n...
Tuesday, 17 March 2020
SERIKALI YA TANZANIA YAZIFUNGA SHULE ZOTE NA KUSITISHA MICHEZO YOTE KUKABILIANA NA CORONA
MARA ONLINE
March 17, 2020
0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imezifunga shule zote kuanzia awali hadi kidato cha Sita kwa muda wa mwezi mmoja, ...
Monday, 16 March 2020
DIWANI WA CHADEMA RORYA ATIMKIA CCM
MARA ONLINE
March 16, 2020
0
Aliyekuwa diwani wa kata ya Kirogo wilayani Rorya kupitia tiketi ya CHADEMA Justine Rugoye amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM) na ku...
Thursday, 12 March 2020
Tuesday, 10 March 2020
RORYA: KATA YA TAI YASOMA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM ,DC ASEMA NI KATA YA MFANO WA KUIGWA
MARA ONLINE
March 10, 2020
1
Kata ya Tai iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara leo machi 2020 imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa ILANI ya chama cha mapinduzi (C...
Sunday, 8 March 2020
UKOSEFU WA TAULO ZA KIKE WAMGUSA DC SERENGETI
MARA ONLINE
March 08, 2020
0
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akiendesha harambee ili kupata pesa kw ajili ya kununua taulo za kike kwa wasichana wa shu...
FGM SURVIVORS SMILE AS THE WORLD MARKS INTERNATIONAL WOMEN'S DAY
At least 20 girls who survived from undergoing forced female genital mutilation(FGM) and child marriage in Tarime district have another...
Saturday, 7 March 2020
DC APATA “BREAKFAST” NA WANAWAKE WATEJA WA CRDB TARIME
MARA ONLINE
March 07, 2020
0
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhandisi Mtemi Msafiri leo ameshiriki hafla fupi ya kupata breakfast pamoj...
Monday, 2 March 2020
PCI YATOA MAFUNZO KWA WAKULIMA WAKUFUNZI
MARA ONLINE
March 02, 2020
0
Shirika la Project Concern International (PCI) leo Machi 3,2020 limetoa mafunzo ya uboreshaji wa sekta ya kilimo kwa wakulima wakufunz...
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.